SNOOP DOGG ACHEMSHA, ARUDIA 'GANJA'
Siku chache tu baada ya ,kutangaza kuwa ameamua kuacha kuvuta sigara,nguli wa muziki wa hip-hop kutoka Marekani, Calvin Cordozar Broadus Jr., maarufu kama Snoop Dogg, ameshindwa kujibana na hivyo kurejea kuvuta, akisema uvutaji aliousema haukuwa bangi..
Kupitia mtandao wa X ambao zamani ulifahamika kama Twitter, Snoop Dogg
“Nina tangazo, naacha kuvuta sigara. Najua unachofikiria, ‘Snoop, kuvuta sigara kumebeba umaarufu wako wote.’ Lakini nimemaliza. Nikaa bila kuvuta sigara. yaani nitaacha Solo Stove fixed fire
Tangazo lake la awali kwamba alikuwa akiacha kuvuta sigara “baada ya kufikiria sana na mazungumzo” na familia yake, lilifanya mashabiki wake na wafanyakazi wenzake kufikiri kwamba alikuwa akimaanisha uraibu wake wa muda mrefu wa bangi.
Mwanamuziki mwenzake, Meek Mill alikuwa ametangaza kuiga mfano huo kwa kuhamia Dubai kuacha kuvuta sigara, akisema alipatikana na ugonjwa wa emphysem.

Post a Comment