MASAUNI AIONGOZA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE KUKAGUA UZALISHAJI WA MAJI SAFI YA KUNYWA KIWANDA CHA SUMA-JKT
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(watatu kushoto) akiwaongoza Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama kuelekea kukagua uzalishaji wa maji safi ya kunywa ikiwa ni ziara ya kamati hiyo kukagua miradi mbalimbali katika Wizara ya Ulinzi.Ziara hiyo imefanyika eneo kilichopo kiwanda hicho JKT Mgulani, jijini Dar es Salaam
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa,Meja Jenerali Rajab Mabele akitoa maelezo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kulia) wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje,Ulinzi na Usalama kutembelea Kiwanda cha Maji Safi cha SUMA JKT kilichopo Mgulani,jijini Dar es Salaam.

Post a Comment