Balozi wa Marekani alipomtembelea Sugu jijini Mbeya

 

Balozi wa Marekani nchini Tanzania Michael Antony amemtembelea Mbunge wa zamani wa Jimbo la Mbeya, Joseph Mbilinyi akiwa na ujumbe wake na kufanya naye mazungumzo.

Haikufahamika mara moja ni nini wawili hao walikijadili katika mazungumzo yao yaliyofanyika jijini Mbeya hapo jana. Hata hivyo, watu wameipokea kwa hisia tofauti ziara hiyo ya mtu mkubwa toka nchi kubwa kumtembelea mbunge huyo ambaye pia ni msanii mkongwe wa Hip Hop Tanzania.



No comments