TANROADS YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BARABARA

Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya, akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa    miradi ya barabara inayosimamiwa na Wakala wa Barabara (TANROADS) mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu (haipo pichani) 



Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso, akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa barabara (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta (hayupo pichani), wakati Kamati hiyo ilipokuwa ikipokea Taarifa ya Utekelezaji wa miradi ya barabara leo Tarehe 18 Oktoba, 202M jijini Dodoma.


Mtendaji Mkuu wa W akala wa barabara (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, akitoa ufafanuzi wa hoja zilizowasilishwa na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, wakati Wakala huo ulipowasilisha Taarifa ya utekelezaji wa miradi yake,  leo Tarehe 18 Oktoba, 2023 jijini Dodoma.


Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakichangia hoja walipokiuwa wakipokea Taarifa ya Wakala wa barabara (TANROADS) kuhusu utekelezaji wa miradi ya barabara, leo Tarehe 18 Oktoba, 2023 jijini Dodoma.



No comments