BENKI YA DUNIA YASIFU TANZANIA USAMBAZAJI UMEME

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, akutana na ujumbe wa Benki ya Dunia kwa mazungumzo yalilenga upatikanaji wa umeme nchini. Dkt. Biteko amesisitiza umuhimu wa umeme kwa maendeleo na na Tanzania kwa jitihada zake katika kuboresha upatikanaji wa umeme.

No comments