EL MERREIKH WAWASILI MUDA HUU JNIA

 

Kikosi cha Timu ya El Merreikh ya Sudan, imewasili muda huu katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Klabu hiyo ambayo nyumbani kwao kunawaka moto kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe, ilipoteza kwa mabao 2-0 walipokutana Kigali.
Mechi ya marudiano inatarajiwa kuchezwa keshokutwa saa moja usiku katika Uwanja wa Chamazi Complex 

No comments