TANZANIA YAINGIZA TRILIONI 7.2 KWENYE MADINI

Tanzania imefanikiwa kuingiza kiasi cha shilingi trilioni 7.2 katika mfuko mkuu wa serikali ndani ya miaka sita iliyopita, mara tu baada ya mabadiliko ya sheria ya uchimbaji madini ya mwaka 2017.

Taarifa zilizopatikana zinaeleza, kiasi hicho cha fedha cha wastani wa trilioni 1.2 kwa mwaka, kiaingeweza kupatikana kama sheria hiyo isingefanyiwa mabadiliko ambayo yalicbangiwa kwa kiasi kikubwa na msimamo wa Rais John Pombe Magufuli.

No comments