WANAWAKE WAREMBO WANATAKA HELA-DIAMOND PLATNUMZ

Msanii tajiri zaidi katika Bongo Fleva, Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amesema wasichana warembo wapo lukuki nchini, ila wanataka wanaume wenye pesa.

Rais huyo wa lebo ya Wasafi, ambaye pia ni mmiliki wa kituo cha televisheni cha Wasafi na Redio yake, amesema ni ngumu kwa mwanaume fukara kumiliki watoto wazuri.

Amesema, aliwahi kuachwa na mwanamke aliyempenda kwa moyo wake wote aitwae Sarah, lakini akamkosa kwa kuwa hakuwa na mihela

No comments