RAPA AKA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI AFRIKA KUSINI

Rapa nyota wa muziki nchini Afrika Kusini, AKA, ameuawa kwa kupigwa risasi jioni ya siku ambayo aliuwa na shoo jjini Durban.

Msanii huyo ambaye umaarufu wake uliongezeka miaka miwili iliyopita baada ya kutoa albamu yake iliyoitwa Touch My Blood, aliuawa pamoja na mtu mwingine wakiwa kwenye gari, saa kumi jioni saa za Bondeni.

No comments