RAIS SAMIA AMTEUA BOSI WA MEDIA BODI YA MBOLEA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua mmiliki wa kituo cha telwvisheni cha Star Tv, Antony Diallo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea nchini.

Uteuzi huo umeanza Februali 8 mwaka huu. Aidha, Rais Samia pia amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, George Marwa Waitara kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA.

No comments