MO DEWJI ASHUSHA KIINGILIO MECHI YA RAJA CANSABLANCA

Rais wa Heshima wa Simba, Mohammed Gullam Dewji, maaeufu kama Mo, ameuagiza uongozi wa klabu hiyo kuounguza kiingilio cha mechi yao ya Jumamosi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Cansablanca utaopigwa Dar es Salaam.

Mo ametaka kiingilio cha chini kabisa kiwe 3000 badala ya 5000 ili kuwasogeza mashabiki zaidi waweze kuwapa hamasa wachezaji ambao bado wanaugulia maumivu ya kuchapwa bao 1-0 dhidi ya Horoya ya Guinea.

No comments