KABURI LAFUKULIWA ARUSHA, MAITI YA KIKE YAINGILIWA KIMWILI

Picha siyo ya tukio husika.

Watu wasiojulikana, wamefukua kaburi lililotumika kumzika mtu mmoja mwanamke, aliyefariki siku nne zilizopita na katika hali inayotisha, mwili wa marehemu umegundulika kuingiliwa kimwili.

Ndugu na watu wengine waliokusanyika makaburini wamepigwa na mshangao wa tukio hilo ambalo wamehusisha na imani za kishirikina.

Ndugu wamepeleka ripoti polisi na wameomba uchunguzi wa haraka ili kubaini watu waliohusika na unyama huo usiosemeka.

No comments