AUA WANAWE ILI AMFURAHISHE ALIYETAKA KUMUOA

Mwanamke mmoja alifanya tukio la ajabu maishani mwake baada ya kuwaua watoto wake wawili wa juwazaa ili kumvutia mpenzi wake mpya aliyekusudia kumuoa.

Frossy Cherono mwenye umri wa miaka 34, alifanya tukio hilo baya, usiku wa Julai 9, 2019 huku nyumbani kwao Kaborwa, kwenye akaunti ya Nandi nchini Kenya.

Baada ya kusikikizwa kwa kesi yake na mahakama kujiridhisha na ushahidi, ilimukumu mwanamke huyo kifungo cja miaka 17 jela kwa kosa hilo.

No comments