ALIYEMTOA JELA MANDELA AFARIKI AFRIKA KUSINI

RAIS wa zamani wa Afrika Kusini na mzungu wa mwisho kuiongoza nchi hiyo
Frederik Willem de Klerk, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85.
Frederik Willem de Klerk, ambaye pia alikuwa mhusika mkuu
katika kipindi cha mpito cha taifa kuelekea demokrasia na ambaye alimtoa jela
Rais wa Kwanza mweusi, Nelson Mandela alikuwa kiongozi wa nchi hiyo kati ya
Septemba 1989 na Mei 1994.

Post a Comment