YUSUF MLELA ADAI KULALA NA WANAWAKE ZAIDI YA 100 TANGU AWE STAA
MUIGIZAJI mwenye jina kubwa
katika sanaa ya uigizaji hapa nchini, Yusuf Mlela amedai kuwa tangu aanze
kupata jina, ameshalala na wanawake zaidi ya 100.
Mlela pia amezungumzia masuala
mbalimbali ya kimahusiano wakati akihojiwa na kituo kimoja cha redio jijini Dar
es Salaam.

Post a Comment