RONALDO AVUNJA REKODI KOMBE LA DUNIA

SIKU chache tu baada ya kurejea Man United kwa
mkataba wa miaka miwili, mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno Cristiano Ronaldo sasa ndiye mfungaji wa muda wote wa timu za Taifa
Duniani akiwa amefunga jumla ya magoli 111.
Cristiano Ronaldo amevunja rekodi ya Ali Daei wa Iran mwenye magoli 109.

Post a Comment