BUNGE LAPUNGUZA MUDA WA KAZI, POSHO, MISHAHARA PALEPALE

KATIKA kukabiliana na hatari ya maambukizi ya Uviko
19, Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amesema...tutafupisha masaa ya
kufanya kazi, vikao vya bunge vitaanza kuanzia kesho saa nane mchana na
kuendelea hadi saa moja usiku bunge litakapoahirishwa hadi siku inayofuata saa
nane ya mchana tena,
"Hii itatufanya tutumie masaa matano (5) badala ya masaa
saba na nusu kwa siku, Aidha kipindi cha maswali kitatumia muda wa dakika 60
badala ya dakika 90," alisema Ndugai. Wakati akisema hayo, hakusema lolote
juu ya posho wala mishahara na stahiki zingine wanazopata wabunge kutokana na
kazi zao.

Post a Comment