MADIWANI IRINGA WAJA JUU KONDOMU KUADIMIKA

SUALA la kuadimika kwa mipira ya kiume (kondomu) limezua
mjadala mkali kwenye Baraza la Madiwani Halmashauri ya Manispaa ya Iringa,
ambapo madiwani hao wamedai linakwamisha mapambano dhidi ya UKIMWI na kudai
kuwa mipira hiyo haipatikani kwenye nyumba za wageni na maeneo ya starehe.

Post a Comment