SERIKALI YASIKITISHWA DENMARK KUFUNGA UBALOZI WAKE NCHINI

KUFUATIA hatua ya
serikali ya Denmark kudhamiria kufunga ubalozi wake nchini ifikapo mwaka 2024,
Tanzania imeonyesha masikitiko yake juu ya hatua hiyo.
Masikitiko hayo
yametolewa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
kupitia kwa Waziri wake Balozi Liberata Mulamula, akiwa nchini Marekani.

Post a Comment