RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIRI RC NI MLIPUKAJI

WAKATI wa zoezi la kuwaapisha Makatibu Tawala Ikulu mjini Dodoma leo, Rais Samia Suluhu Hassan amekiri kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila ni mlipukaji.
Alisema hayo wakati
akiwataka makatibu tawala na wakuu wa mikoa kufanya kazi kwa upendo badala ya
kugombana pasipo sababu za msingi.
Akitolea mfano wa
Chalamila, alisema wakati yeye ni mlipukaji, Katibu tawala wake Samike ni
mkimya, hivyo wawili hao ni kama kibiriti na petroli.

Post a Comment