BAADA YA SABAYA, WANANCHI WAMTAKA MKUU WA MKOA


BAADA ya kukamatwa, kuhojiwa na kisha kushtakiwa mahakamani kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, wananchi sasa wanataka na Mkuu wa Mkoa naye afanyiwe 'the same''

Katika mitandao ya kijamii, wamesema kama kweli Mama Samia Suluhu Hassan, The Madam President anataka heshima, basi aruhusu uchunguzi dhidi ya Mkuu huyo wa mkoa ambaye enzi zake alikuwa untouchable.

Wanasema tuhuma zinazomkabili Sabaya, ni cha Mtoto kwa zile zinazoelekezwa kwa huyu!

Ni Nani?

No comments