RPC mpya Mwanza afunguka sakata la kuokotwa vichwa vya watoto (+video) –  Millardayo.com

ALIYEKUWA Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jumanne Muliro, leo amewasili rasmi katika kituo chake kipya cha kazi, ambacho ni Kanda Maalum ya Polisi Jijini Dar es Salaam.

Muliro, ambaye anategemewa na wengi kuwa ataweza kudhibititi uhalifu jijini hapo, amewasili kipindi ambacho wimbi jipya la ujambazi limeanza kuchipua, baada ya miaka mitano ya utulivu.

No comments