CEO BARBARA APIGA MKWARA SIMBA
CEO wa klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Barbara Gonzalez amesema kushindwa katika hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, kumewaumiza, lakini hiyo haijaathiri mipango yao mikubwa kimataifa, kwani watakuja vizuri zaidi msimu ujao.
“Makosa ambayo tuliyafanya
katika mechi ya ugenini katika mechi na Kaizer Chiefs
wala
hayatajitokeza tena na tutaweka plani sahihi kwa msimu ujao ili kuwa imara,”
alisema Barbara na kuwataka mashabiki wa Simba
kuwa karibu na timu
yao wakati wao kama viongozi wakiendelea na mipango thabiti..

Post a Comment