BABU TALE AKERWA NA UTITIRI WA MARAIS
MBUNGE wa Jimbo la Morogoro vijijini, Hamis Taletale kutoka CCM, amesema ili kulipa heshima neno rais, ni vyema marais wa mashirikisho kama TFF, wakajipa vyeo vingine ili hicho kibakie kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Akitoa mchango wake
bungeni leo, Babu Tale alisema baadhi ya wanaojiita marais, viatu vyao vina
vumbi, jambo ambalo linaifedhehesha nafasi hiyo.

Post a Comment