Bila mashabiki mtu anapigwa

SIMBA inaingia dimbani jioni hii kucheza mechi ya marudiano
na El Merreikh ya Sudan katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa barani
Afrika.
Shirikisho la soka barani Afrika CAF, limezuia mashabiki
kuingia uwanjani baada ya kukiuka masharti ya maambukizi ya Corona. Hata hivyo,
kocha wa Simba, Didier Gomes ametamba kuwa kwa vyovyote, wakali hao wa Sudan
wanang'oka.
Historia inaonyesha Simba haijawahi kupoteza mechi katika
Uwanja wa Benjamin Mkapa katika michuano ya kimataifa

Post a Comment