VYAMA 18 VYA SIASA VYASIMAMISHA WAGOMBEA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI KWA KATA 22 ZA TANZANIA BARA.
Aidha Jaji Mwambegele amesema kuwa Wapiga Kura 128,157 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura watashiriki katika Uchaguzi huu huku akitoa wito kwa vyama vya siasa na wanachi wote kutojihusisha na matendo yeyote yanayoashiria uvunjifu wa Amani siku ya uchaguzi

Post a Comment