RAIS DK.MWINYI APOKEA POLE KUTOKA KWA MH.MAKAMBA

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole  Ikulu Mnazi Mmoja kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba  kufuatia kifo cha Baba yake Mzazi, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi .

Pia katika mazungumzo yao  wamegusia shughuli za uendeshaji wa ofisi ya Idara ya Mambo ya nje Zanzibar.

No comments