Staa wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya The African Princes, Nandy ameweka wazi kutafutwa na mkali wa RnB kutoka nchini Marekani Usher Raymond kwa ajili ya Remix ya wimbo wake wa Dah ambao amemshirikisha mfalme wa Bongo Fleva, Ali Kiba
Post a Comment