Wenyeviti Serikali za mitaa waondolewa uuzwaji viwanja
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amewatoa wenyekiti wa Serikali ya mtaa na Vijiji kujihusisha kwenye mauzo ya viwanja, akisema watakaohusika ni maofisa ardhi kwa kushirikiana na kampuni za upangaji na upimaji ardhi.
Pia amepiga marufuku kwa wananchi kununua maeneo ambayo hayajapimwa na kupangwa.
Hayo ameyasema leo Desemba 22,2023 ya siku 100 za utekezaji wa ilani kwenye mkutano na jukwaa la wahariri uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Post a Comment