KAMATI YA AMANI YA MKOA YAKUTANA NA RC RUVUMA

 


Kamati ya Amani ya Mkoa ya Viongozi wa Madhehebu wakiongozwa na Mwenyekiti wake Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Ruvuma Mhashamu Raphael Haule na Katibu wa Kamati hiyo Mchungaji Elimu Mwenzegule wa Kanisa la Pentecostal Holliness Mission Songea na viongozi wa madhehebu ya CCT, BAKWATA, TEC NA CPCT wakiwa katika picha ya Pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed baada ya kufanya kikao cha Pamoja ofisini kwake lengo kubwa lilikuwa ni kumkaribisha Mkuu wa Mkoa ambaye amehamia kutokea Mkoa wa Mtwara

No comments