DC MISUNGWI CHACHA ADAKA WAHAMIAJI HARAMU NA WANAJESHI JUMLA WATU 50
Na King Bashite
Misungwi Mwanza
Mhe PAUL CHACHA MATIKO amaye ni Mkuu wa wilaya ya Misungwi na Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Misungwi ameendelea na msako wa nyumba kwa nyumba na mtaa kwa mtaa.
Katika msako huo na vyombo vyake wamebahatika kukamata kikundi kikubwa Cha WAHAMIAJI HARAMU kutoka somalia na Buruda waliopitia kivuko Cha busisi Sengerema kuja kigongo ( Idetemya) na kukamatwa kwenye kata ya Usagara.
Vyombo vya Ulinzi na Usalama wilayani Misungwi vilibahatika kuwa shikiria na kufanya uchunguzi wa kina zaidi na kuwabaini wote ndani ya gari la abiria .
Mhe Mkuu wa wilaya CHACHA amesema vyombo vyetu vipo imara muda wote na kuwashukuru raia wema waliotoa taarifa na kufanikiwa kuwakata kwa wakati.
Misungwi ni yetu sote tushirikiane kuijenga

Post a Comment