Mwanaharakati wa kuwataka weusi Ulaya wajitambue afariki

 


Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya, anayetajwa kama mwana harakati mahiri wa kutetea haki za watu weusi wajitambue na warudi kwenye asili yao, anadaiwa kufariki dunia huko Sweden.

Kwa mujibu wa habari zilizopatikana kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii, Kissendi ambaye ni Mtanzania aliugua muda mfupi kabla ya kufariki kwake. Mipango ya mazishi inaendelea.

Bado wana familia hawajaweka wazi ni lini mwili wa shujaa huyo utarudishwa lini.

No comments