Mzozo mkubwa waibuka baina ya mashabiki wa Argentina na Brazil: uwanjani

 

Mzozo mkubwa umeibuka ndani ya Uwanja wa Maracana jijini Rio De Jeneiro nchini Brazil baina ya mashabiki wa timu pinzani za Brazil na Argentina. Hali hiyo ilisababisha polisi kutembeza virungu kwa mashabiki hao, ambao nao kwa kujibu, waling'oa viti na kuwatupia.

No comments