CHELSEA YATWAA UBINGWA ULAYA

HUKU mashabiki wengi wakimpa nafasi Pep Guardiola kuchukua ubingwa wake wa kwanza wa Klabu Bingwa Barani Ulaya akiwa na Manchester City, Chelsea waliiduwaza Ulaya baada ya kuwachapa mabingwa hao wa England kwa bao 1-0 na kutwaa taji hilo kwa mara ya pili katika historia.
Man City, licha ya
kuwa timu bora kwa sasa nchini England, bado haijaweza kulitia kibindoni taji
hilo kubwa kabisa kwa ngazi ya klabu barani Ulaya.

Post a Comment